Dhikr Ndio Moyo wa I’tikaf

RisalahDhikr Allah fi Ramadhan (Kukithirisha Kumtaja Allah Katika Mwezi wa Ramadhan)

Mhusika: Shaykh Muḥammad Saʻīd Raslān (hafidhahullah)

Nini Maana Ya ‘Itikaaf?

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:

Ni kujiweka faragha kwa ajili ya ‘ibaadah na kujipwekesha kwa Allaah kwayo. Na hii ndio kujipwekesha ki-shariy’ah. Na wengineo wakasema kuhusu maana ya I’tikaaf ni kukata mahusiano na kila kiumbe kwa yale yanayohusiana na kuwahudumia viumbe.  [Majmu’w Al-Fataawaa (15/438)]

 Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 I’tikaaf ni mtu kujilazimisha kubakia Msikitini kwa ajili ya utiifu kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta’aalaa), ili ajitenge na watu na ashughulike katika utiifu kwa Allaah na ajiweke faragha nayo.   [Majmuw’ Al-Fataawaa (20/155)] 

‘Subhanaka Allahumma wa bihamdika, ash-hadu an la ilaha illa Anta, astaghfiruka wa atubu ilaika 

(O Allah, You are free from every imperfection; praise be to You. I testify that there is no true god except You; I ask Your Pardon and turn to You in repentance)

Share this, BaarakAllah Feekum: [“One who guides to something good has a reward similar to that of its doer” – Saheeh Muslim Vo. 3, No. 4665]

The Most Comprehensive and Authentic Explaination of the Quran!
Tafsir Ibn Kahtir (10 Vol)
Purchase the complete Tafsir Ibn Kathir (10 Vol Abridged) By Dar-us-Salam Publications.