Dini ni Nasaha

Mhusika: Shaykh Abdur Razzaaq bin Abdul Muhsin Al-Badr حفظه الله

Mkusanyiko wa nasaha mbalimbali iliyokusanywa na Shaykh Abdur Razzaaq bin Abdul Muhsin Al-Badr حفظه الله.

عن أبي رقية تميم بن أوس الداري رضي الله عنه أن النبي صلى الله عليه وسلم قال: «الدين النصيحة» قلنا: لمن؟ قال: «لله، ولكتابه، ولرسوله، ولأئمة المسلمين وعامتهم».

Kutoka kwa Abii Ruqayya Tamiim bin Awsi Ad-Daariy (رضي الله عنه) kwamba Mtume (ﷺ) amesema : ” Dini ni nasaha” tukasema : Ni kwa nani ?akasema: Kwa ajili ya Allah, na kwa ajili ya kitabu chake,na kwa ajili ya Mtume wake,na kwa ajili ya viongozi wa Kiislamu na waislamu kwa ujumla”. (Sahih Muslim: 55a)

01 – Dhikr – SubhanAllah wa bi Hamdihi
02 – Hasanat (Mema) Huzaa Mema na Uwovu Huzaa Uovu
03 – Jifundishe Kunyamaza
04 – Kujipamba na Tabia Njema (Husnul al-Khuluq)
05 – Kupanda kwa Gharama ya Maisha
06 – Kuwaombea Watoto Kila Mara
07 – Maasi (Maovu) na Madhara Yake
08 – Mambo Mawili Yanaharibu Saum (Funga) ya Mja
09 – Mto (Pillow) wa Kaburi
10 – as-Salah ni Kipimo ya Kila Jambo la Muislamu
11 – as-Salah ni Mizani ya Mja
12 – Sunnah ya Kuweka Ndevu
13 – Kithirisha Du’a Allah akufishe Katika Tawheed (Uislamu)
14 – Ulimi Hudhihirisha Akili ya Mtu/Mja
15 – Umuhimu Wa Kuimarisha Misikiti
16 – Uvivu na Ajizi – Muislamu si mtu wa ajizi wala hawi mvivu bali ni mtu thabiti, mtendaji kazi na huwa na pupa ya maendeleo
17.
18.

<< Tutaendelea kuchapisha nasaha zaidi pindi zitakapokuwa tayari ان شاءالله (in shaa Allah) >>

‘Subhanaka Allahumma wa bihamdika, ash-hadu an la ilaha illa Anta, astaghfiruka wa atubu ilaika 

(O Allah, You are free from every imperfection; praise be to You. I testify that there is no true god except You; I ask Your Pardon and turn to You in repentance)

Share this, BaarakAllah Feekum: [“One who guides to something good has a reward similar to that of its doer” – Saheeh Muslim Vo. 3, No. 4665]

Darsa Zaidi

The Most Comprehensive and Authentic Explaination of the Quran!
Tafsir Ibn Kahtir (10 Vol)
Purchase the complete Tafsir Ibn Kathir (10 Vol Abridged) By Dar-us-Salam Publications.