Hadithi Mia Moja Kwa Ajili Ya Kuhifadhi

Miatu Hadiyth Lil-Hifdh (Hadithi Mia Moja Kwa Ajili Ya Kuhifadhi), kutoka kwa Sahih Al-Bukhari na Sahih Muslim.

Hadithi Mia Moja Kwa Ajili Ya Kuhifadhi

01 – Dhikr (Kalima Mbili)
02 – Kuwatendea Wema Wazazi Wako
03 – Kujiepusha na Dhana Mbaya
04 – Tahadhari na Ulimi Wako
05 – Gheerah (Wivu) ya Allah
06 – Kusimama kwa ‘Ibada Katika Ramadhan
07 – Fadhla za Hajj na ‘Umrah
08 – Kujizuia Kupiga Miayo (Yawn)
09 – Fadhla ya Kusadia Maskini na Yatima
10 – Katika Sababu ya Kusamehewa Madhambi
11 – Haki ya Muislamu kwa Mwenzake
12 – Kufuata Jeneza na Kuiswalia
13 – Katika Tabia Njema ya Mtume ﷺ
14 – Njia ya Pepo na Moto
15 – Katika Adaab ya Siku ya Jumu’ah
16 – Sunnah ya Kupiga Muswaki-Siwak
17 – Kukamilisha Wudhu
18 – Makosa ya Kumtangulia Imamu Katika Swalah
19 – Fadhla ya Kuenda Miskitini
20 – Alama ya Munafiq (Nifaaq al-‘Amali)
21 – Uharamu wa Kurefusha Nguo Chini ya Kongo Mbili (Kuvaa Isbaali)
22 – Fadhla ya Kukaa Miskitini Katika Hali ya Tahara
23 – Wajibu wa Kumtii Mtume (ﷺ)
24 – Kujitahadhari na Takfir
25 – Fadhla ya Kutubia (Tawbah) Kikweli
26 – Kupeana (Kuenezeza) Salamu ni Njia Moja ya Kuleta Mapenzi Baina ya Waja
27 – Fadhla ya Salah ya Faradhi (fardh)
28 – Fadhla ya Mwezi wa Muharram na Kuswali Usiku (Qiyam al-Layl)
29 – Kufungwa kwa Mlango wa Tawbah
30 – Amri ya Kuacha Ndevu na Kupunguza Masharubu
31 – Fadhla ya Adhkar – Subhan Allah, Alhamdullillah, Laa illaha illa Allah, Allahu Akbar
32 – Kumfanyia Uadui na Ghushi Muislamu
33 – Mambo Gani Yanamfaa Mja Baada ya Mauti?
34 – Talqin kwa Mja Anapofariki (Laa illaha illa Allah)
35 – Uharamu wa Kumzulia Mtume (ﷺ) Urongo
36 – Matunda ya Kulingania Katika Uongofu au Upotofu
37 – Uwajibu wa Ikhlas Katika Matendo (‘Ibadah)
38 – Fadhila za Kumswalia Mtume (ﷺ)
39 – Utukufu wa Damu, Mali na Heshima ya Muislamu
40 – Fadhla ya Sadaka na Kunyenyekea
41 – Uharamu wa Kusengenya (Gheebah)
42 – Katika Fadhla ya Kuleta Adhkar kwa Wingi
43 – Hakika Allah (سبحانه وتعالى) Haangalii Uso Wako Wala Mali Yako
44 – Fadhla ya Surah Al-Baqarah
45 – Mja Ako Kabirbu na Mola Wake Katika Sujood
46 – Hatari Ya Kuudhi Majirani
47 – Njia ya Jannah – Kutafuta Elimu
48 – Fadhla ya Kupendana kwa Ajili ya Allaah (سبحانه وتعالى)
49 – Swalah ya Sunnah Wakati ya Faradhi Imeqimiwa
50 – Dunia Ni Jela Kwa Muumin

‘Subhanaka Allahumma wa bihamdika, ash-hadu an la ilaha illa Anta, astaghfiruka wa atubu ilaika 

(O Allah, You are free from every imperfection; praise be to You. I testify that there is no true god except You; I ask Your Pardon and turn to You in repentance)

Share this, BaarakAllah Feekum: [“One who guides to something good has a reward similar to that of its doer” – Saheeh Muslim Vo. 3, No. 4665]

The Most Comprehensive and Authentic Explaination of the Quran!
Tafsir Ibn Kahtir (10 Vol)
Purchase the complete Tafsir Ibn Kathir (10 Vol Abridged) By Dar-us-Salam Publications.