Sauti: Ustadh Abu Hudheifa (حفيظ الله)
Allah amesema (Tarjama):
“Sema: Atakufisheni Malaika wa mauti ambaye amewakilishwa kwenu, kisha kwa Rabb wenu mtarejeshwa. Na ungeliona pale wahalifu wanainamisha vichwa vyao mbele ya Rabb wao (wakisema): Rabb wetu! Tumekwishaona, na tumeshasikia, basi turejeshe tutende mema, hakika sisi sasa ni wenye yakini…….Basi onjeni kwa sababu ya kusahau kwenu kukutana na Siku yenu hii. Hakika Nasi Tumekusahauni. Na onjeni adhabu yenye kudumu milele kutokana na yale mliyokuwa mkiyatenda.” [Surah as-Sajda (32): 11-14]