Book: Fiqh Al Muyassar (الفقه الميسر في ضوء الكتاب و السنة- نخبة من العلماء – الشيخ صالح آل الشيخ)
By: Group of ‘Ulema (Scholars) | Prefaced by Shaykh Saalih bin Abdul-Aziz Aal-Shaykh
Mlango hii itaangazia maji na vipengele vya utakaso, vyombo, wudhoo, siwak, tayammum, ghusl, tabia za choo na kadhalika.
01-01 – Taarifu ya Twahara na Umuhimu Wake
01-02 – Twahara na Aina za Maji
01-03 – Maji Yaliyoingia Ndani Yake Najis – Rangi, Harufu na Ladha Kubadilika
01-04 – Maji Yaliyoingia Ndani Yake Kitu Cha Twahara- Rangi, Harufu na Ladha Kubadilika
01-05 – Hukmu ya Kutumua Maji Yalio Tumika
01-06 – Hukmu ya Maji (Mabaki) Kuinywa Mwanadamu au Mnyama
02-01 – Vyombo-Hukmu ya Kutumia Vyombo vya Dhahabu na Fedha
02-02/03 – Kutumia Vyombo Vilivyolihimiwa kwa Dhahabu au Fedha
02-04 – Hukmu ya Vyombo vya Ngozi za Nyamafu
03-01 – Adabu ya Kukidhi Haja-Istinja’ na Istijmar
03-02 – Makatazo ya Kukidhi Haja kwa Kuelekea Qiblah
03-03 – Sunnah ya Kukidhi Haja
03-04 – Mambo Yaliyoharamishwa kwa Mwenye Kukidhi Haja
03-05 – Mambo ya Karaha kwa Mwenye Kukidhi Haja
04-01 – Siwaak – Hukmu ya Kutumia Siwaak (Mswaki)
04-02 – Siwaak – Wakati wa Kupiga Siwaak (Mswaki)
04-03 – Kutumia Siwaak (Mswaki) ya Mti
04-04 – Faida ya Kupiga Siwaak (Mswaki)
05-01 – Wudhu – Maana na Hukmu ya Wudhu
05-02 – Dalili ya Wudhu – Ni Wajibu kwa Nani na Wakti Gani
05-03 – Masharti (Shurut) ya Wudhu
05-04 – Faradhi (Faraidh) ya Wudhu
05-05 – Sunnah (Sunan) ya Wudhu
05-06 – Yanayotengua (Kitenguzi ya) Wudhu
05-07 – Je Wudhu Inapendekezwa Wakati Gani?
05-08 – Mambo Ambayo Mtu Akiyafanya ni Sunnah Ashike Wudhuu
06-01 – Hukmu na Dalili ya Kupukusa Khufu (Khuffayn), Soksi, Utata, Bendegi na Mfano wa Hivyo
06-02 – Masharti ya Kupangusa Khufu na Soksi
06-03 – Namna ya Kupangusa Khufu (Khuffayn) na Soksi
06-04 – Muda Gani Unaweza Kupangusa Khufu au Soksi kwa Mkazi na Msafiri
06-05 – Yanayotengua Kupukusa (Kupaka/Kupangusa) Juu Ya Khufu au Soksi
06-07 – Kupangusa Juu ya Bandeji au Kinachofunika Kichwa kwa Wanawake au Wanaume
07-01 – Ghusl – Maana, Hukmu na Dalili ya Kuoga Ghusl
07-02 – Ghusl – Namna ya Kuoga Ghusl
07-03 – Ghusl – Kuoga Kunakopendekezwa (Sunnah)
07-04 – Ghusl – Mambo Yaliyokatazwa kwa Mwenye Kupaswa Kuoga Ghusl
08-01 – Tayammum – Hukmu na Dalili Yake
08-02 – Tayammum – Masharti Yake
08-03 – Tayammum – Vitanguo Vyake
08-04 – Tayammum – Namna ya Kutayammum
09-01 – Najis – Maelezo ya Najis
09-02 – Najis – Sampuli ya Vitu Najis
09-03 – Najis – Njia za Kutwahirisha na Najis
10-0 – Hedhi na Nifas – Maana Yake
10-1 – Hedhi na Nifas – Miaka Ya Kupata Hedhi
10-2 – Hedhi na Nifas – Uchache au Wingi wa Hedhi
10-3 – Hedhi na Nifas – Muda wa Hedhi
10-4 – Hedhi na Nifas – Mambo Yaliyoharamishwa Katika Hedhi na Nifas
10-5-1 – Hedhi na Nifas – Mambo Yaliyowajibishwa kwa Hedhi na Nifas
10-5-2 – Hedhi na Nifas – as-Salah Baada ya Kutwahirika na Hedhi au Nifas
10-6 – Nifas – Uchache au Wingi wa Nifas

