Kitabu: Al-Qawl al-Mufeed Sharh Kitab at-Tawhid – Shaykh Muhammad ibn Salih al-‘Uthaymin (رَحِمَهُ ٱللَّٰهُ)
Sauti: Ustadh Abu Hudheifa (حفيظ الله)
Kutafuta baraka ni miongoni mwa mambo yasio kubali maoni na ambayo Muislamu katika kuyatenda ni lazima awe na hoja ya kisheria ya Qur’ani na Sunna (Hadithi sahihi za Mtume ﷺ). Kutafuta baraka kuliko haramishwa ni miongoni mwa mambo yanayohatarisha imani ya mja, na ni katika njia kuu za kuitia kasoro Tawheed.