Maiti Asiyeweza Kuoshwa Inatakiwa Kumfanyisha Tayammum

Download: Bonyeza nukta (dots) tatu kupata darsa kwa simu yako

Swali: Kipi kinachofanywa ikiwa haiwezekani kumuosha maiti?

Jibu: Ikiwa haiwezekani kumuosha maiti, wanachuoni wanasema kuwa inatakiwa kumfanyisha Tayammum. Ina maana ya kwamba mwoshaji anatakiwa kupiga mikono yake kwenye udongo halafu apanguse uso wa maiti na vitanga vyake vya mikono. Baada ya hapo avishwe sanda, aswaliwe na kuzikwa.

  • Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn (رَحِمَهُ اللهُ)
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/90 )

‘Subhanaka Allahumma wa bihamdika, ash-hadu an la ilaha illa Anta, astaghfiruka wa atubu ilaika 

(O Allah, You are free from every imperfection; praise be to You. I testify that there is no true god except You; I ask Your Pardon and turn to You in repentance)

Share this, BaarakAllah Feekum: [“One who guides to something good has a reward similar to that of its doer”] – Hadeeth

Mshirikishe mwenzako (Share)

The Most Comprehensive and Authentic Explaination of the Quran!
Tafsir Ibn Kahtir (10 Vol)
Purchase the complete Tafsir Ibn Kathir (10 Vol Abridged) By Dar-us-Salam Publications.