Mhusika: Shaykh Saalih Al-Usaymee (حفظه الله) | Sauti: Ustadh Abdallah Gurka (رحمه الله)
Tabia Njema Kumi (10) yanayompasa kila muislamu ajipanbe nazo.
- Kueneza Salamu
- Kubisha Hodi
- Adabu ya Kukula – Mtaje Allah (Basmallah) wakati wa kukula, Ukule na Mkono wa Kulia na Chakula Iliyo Karibu na Wewe etc.
- Adabu ya Mazungumzo: Maneno Mazuri Katika Mazungumzo Yako kwa Sauti ya Chini etc.
- Adabu ya Kulala: Wudhu Kabla ya Kulala, Kusoma Du’a ya Kulala etc.
- Adabu ya Kuchemua (Sneezing)
- Adabu ya Miayo (Yawning)
- Adabu ya Kikao (Majlis) ya Watu Wengi
- Haki ya Barabara
- Adabu ya Mavazi