Kitabu: Tafsir ibn Kathir | Taysir al-Karim al-Rahman (Tafseer as-Sa’di)
Sauti: Ustadh Abu Hudheifa (حفيظ الله)
Allah (Subhanahu wa-ta’ala) amesema {Tarjama}:
“Kisha tumewarithisha Kitabu hao ambao tuliwateuwa miongoni mwa waja wetu. Kati yao yupo aliye jidhulumu nafsi yake, na yupo wa katikati, na yupo aliye tangulia katika mambo ya kheri, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Hiyo ndiyo fadhila kuu.” [Surah Fatir:32]