Uchawi na Ubaya Wake Katika Uislamu

Uchawi na ubaya wake kwa dini na eeman ya mja, familia na jamii ya kiislamu kwa jumla.

Kitabu: As-Sihr wa khutturatuh (Uchawi na ubaya wake)

By: Shaykh Dr. Mohammed Bin Ghaith Ghaith (hafidhahullah)

عن أبي هريرة رضي الله عنه مرفوعاً: “اجتنبوا السبع المُوبِقَات، قالوا: يا رسول الله، وما هُنَّ؟ قال: الشركُ بالله، والسحرُ، وقَتْلُ النفسِ التي حَرَّمَ الله إلا بالحق، وأكلُ الرِّبا، وأكلُ مالِ اليتيم، والتَّوَلّي يومَ الزَّحْفِ، وقذفُ المحصناتِ الغَافِلات المؤمنات”. [صحيح] – [متفق عليه]

Kutoka kwa Abuu Huraira (رَضِيَ ٱللَّٰهُ عَنْهُ -radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)- Hadithi Marfu’u: “Jiepusheni na mambo saba yenye kuangamiza, wakasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ni yapi hayo? Akasema: Ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu, na uchawi, na kuuwa nafsi aliyoiharamisha Mwenyezi Mungu ispokuwa kwa haki, na kula riba, na kula mali ya yatima, na kukimbia siku ya mapambano, na kuwazulia machafu wanawake waumini wenye kujihifadhi wenye kujizuia na machafu”. Sahihi – Wamekubaliana Bukhaariy na Muslim (rahimahumullah)

01-Uchawi na Ubaya Wake (Mgao wa Elimu)

02-Uchawi na Ubaya Wake

03-Uchawi na Ubaya Wake

04-Uchawi na Ubaya Wake

05-Uchawi na Ubaya Wake

06-Uchawi na Ubaya Wake

07-Uchawi na Ubaya Wake

08-Uchawi na Ubaya Wake

09-Sababu ya 1-4 ya Kuingia Katika Mtego wa Uchawi

10-Sababu ya 4-5 ya Kuingia Katika Mtego wa Uchawi

11-Kinga ya Uchawi

‘Subhanaka Allahumma wa bihamdika, ash-hadu an la ilaha illa Anta, astaghfiruka wa atubu ilaika 

(O Allah, You are free from every imperfection; praise be to You. I testify that there is no true god except You; I ask Your Pardon and turn to You in repentance)

Share this, BaarakAllah Feekum: [“One who guides to something good has a reward similar to that of its doer” – Saheeh Muslim Vo. 3, No. 4665]

The Most Comprehensive and Authentic Explaination of the Quran!
Tafsir Ibn Kahtir (10 Vol)
Purchase the complete Tafsir Ibn Kathir (10 Vol Abridged) By Dar-us-Salam Publications.